Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,800
- 113,355
Basi fanya uliweke pembeni kidogo inakuja zawadi itakayokaa hapo usoni 😅☺️☺️
Ukipewa zawadi lazima uitumie ili upewe tena siku nyingine!😁😁
Basi fanya uliweke pembeni kidogo inakuja zawadi itakayokaa hapo usoni 😅☺️☺️
Ukipewa zawadi lazima uitumie ili upewe tena siku nyingine!😁😁
🤣🤣🤣🤣Niko njiani nakuja kurekebisha hiyo nywele,rafiki😅
Hapo ndio linapendezea zaidi...Basi fanya uliweke pembeni kidogo inakuja zawadi itakayokaa hapo usoni 😅
Sasa mbona umetaja, najua cha kukaa hapo na hiyo beauty skin kala yako utarudi utotoni 😉Hapo ndio linapendezea zaidi...
Ila nikipata miwani ntasogeza ili 👓 ionekane.😁
Basi...basi...naacha kihere here.Sasa mbona umetaja, najua cha kukaa hapo na hiyo beauty skin kala yako utarudi utotoni 😉
Niko hapa mnirushe roho tuuMke mwenza 😍😍😍😍😍
Mume wetu anaweweseka uko alipo, sio kwa u hair huo na karangi ka dubai awwwww 🥰🥰🥰🥰🥰
Naselfika ww njoo tumrushe roho mume wetu hapa.!!
😍 unako ila nitakaongezeaBasi...basi...naacha kihere here.
Nasubiria kuwa na kababy face!😊
Hizo nywele km najiona na mi nimefumua 😂😂😂
Ww jirani nilijua tu huu mfungo utacheat, na asubuhi hii ushaanza kujipakilia ndizi 😂😂😂
😂😂😂😂 Haya subiri nivae nguo kwanza nimetoka kuogaNdugu watazamaji tunasubiri...
😂😂😂😂 Shem coca umemficha wapi??Niko hapa mnirushe roho tuu
pombe ndio nimefunga ili niache kwahiyo sina hangover, nimeamua nijichomee mzuzu zisiharibike.Ww jirani nilijua tu huu mfungo utacheat, na asubuhi hii ushaanza kujipakilia ndizi 😂😂😂
Na hapo utakuwa umeamka na hangover
Tuoneshe hata mikono jamani 🤣😂😂😂😂 Haya subiri nivae nguo kwanza nimetoka kuoga
Tuone basi ☺️Hizo nywele km najiona na mi nimefumua 😂😂😂
Nakazia, Lamomy nyoosha ata mkono kwa dirishan apo kwa ghorofa yako leo nipo ad saa 9.Tuoneshe hata mikono jamani 🤣
😂😂😂😂 mfyuuu.!!pombe ndio nimefunga ili niache kwahiyo sina hangover, nimeamua nijichomee mzuzu zisiharibike.
Chungu cha ngapi leo?
😂😂😂😂 Sio mkono napita naked kabisaaTuoneshe hata mikono jamani 🤣
😂 nimecheka kama chizi kaona jalala, jirani niache kufunga sio jambo jepesi na wewe hata unishtui.😂😂😂😂 mfyuuu.!!
Na hapo camera ingesogea pembeni kidogo tungeona mwana wa Israel pembeni
😋 naam jirani huyoo😂😂😂😂 Sio mkono napita naked kabisaa