Heshima yako bossHata salamu kweli nimnyime kisa mwanafunzi😂😂
Nimekumiss hadi naumwaa
Heshima yako bossHata salamu kweli nimnyime kisa mwanafunzi😂😂
Siselfiki had unipe sate sauzand kwanza.Ulitakiwa uje mlimani wewe unaona sate sauzandi ilikupita hivi hivi
Ebu selfika kwanza





Kama wee unavopenda kufukuliwa manyuuu!unapenda sana udakuuu wee.
Salama kabisa tajiri.Heshima yako boss
Nimekumiss hadi naumwaa
Hakikisha hukosi mlimani city sasa🏃🏃🏃🏃Siselfiki had unipe sate sauzand kwanza.
![]()
Boss lady kwa nini lakini??Nipo hapa nakula muwa jamani ataeniona anistue nimvunjie huku tunaburudika na selfika jamani
🤣🤣🤣🤣🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Na Picha
Wivu nikuonee wewe?Wivu utakuua kijana
Au nikupe na password yangu ukafie mbele
Bado hujasema🤣🤣🤣🤣🤣
Haswaaaaaah!!!!Kama wee unavopenda kufukuliwa manyuuu!




Happy new year Poker
Wee mtu mbad mr vouchaaa umetishaaa 🤠🤠🤠🤠!Ulitakiwa uje mlimani wewe unaona sate sauzandi ilikupita hivi hivi
Ebu selfika kwanza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Hakikisha hukosi mlimani city sasa🏃🏃🏃🏃
Wee mtu mbad mr vouchaaa umetishaaa!
Hebu wawekee vocha tuone kama hawataziwahii kwanza hahahah!
Humu unatakiwa uishe kinundaaaa wanakusema wewe ndiokwanzaaaaaa!
Weka vocha bana kwani unaogopa Maneno???!




hatariii tupuuHuyo kenge mnafiki tu kama yule pimbi wake. Usione anajichekesha hapa kama vile heart imepanda.Jamaniiii naombaaa ufungukeee zaidi, kumbe mjep na tinsley walikua wananinanga huko mlimani city?
Hebuu sema yoteeeee, nasemajeee hebu fungukaaa nijue kulikoniiii.
Jamaniiiiiiii kumekuchaaa hapaaaa.
Bado hujasema 🤣🤣🤣Huyo kenge mnafiki tu kama yule pimbi wake. Usione anajichekesha hapa kama vile heart imepanda.
Yule pimbi wake alisema yote waliyokuwa wanakusema, halafu hapa anajifanya kucheka cheka kama punga vile.
Bado hujasema🤣🤣🤣🤣🤣Mjep kitu usichokijua ni kwamba nafahamu mpaka hapo sakina unapoishi. Hujui una deal na nani hapa, endelea kujichekesha tu, tutaonana live hapo halafu tuongee vizuri. Im busy today, keep waiting