Sijui kama ni karibu na Wamasai ila ni karibu na Kambi ya Mazoezi ya askari wa JWTZHahahahaha...ni kile kijiji cha karibu na wamasai ? Wazo zuri kununua shamba
Oooh nishapajuaSijui kama ni karibu na Wamasai ila ni karibu na Kambi ya Mazoezi ya askari wa JWTZ
Wakati napita huko niliona vibao vyao wakionesha ni eneo la JWTZ Mikumi
Babu ni sehemu gani kuna mashamba bei nafuu na ardhi yake inakubali mazao aina mbalimbaliππSio mbali sana kutokea Mikumi....
Ukipata nafasi tembelea huko ukanunue mashamba ulime miwa, maana kama bei ya Sukari inafika 5,000/Kg ina maana lazima miwa itakuwa deal Siku za usoni
ππππΈπΈ nature is beautful.Screen saver kabisa hii π₯π₯π₯π₯π₯
Ni sehemu gani hii inafaa kwa matumizi ya macho.ππππΈπΈ nature is beautful. View attachment 2903827
π€£π€£π€£πNdiwooooo msiniangusheee! Tena mpite nakeddddd kabesaaa nimemiss kuwaona visuraaa!
Weka nikuone bebe la beibe
AmenUko double maana Yesu unae moyoni.
Ardhi nyingi zinakubali mazao ya aina mbalimbali, changamoto ni hali ya hewa ya hayo maeneo.Babu ni sehemu gani kuna mashamba bei nafuu na ardhi yake inakubali mazao aina mbalimbaliππ
Yeah ni huko MkuuOooh nishapajua
Arusha, MeruNi sehemu gani hii inafaa kwa matumizi ya macho.
Sawa sawaYeah ni huko Mkuu
Nipo Mkuuπnimekuwa mtoro humu ndani siku hiziHahaaa huyo huyo
Braza kaka π€£π€£π€£π€£π€Jana tulikuwa wote tunabeba maboxi huku kwa waitaliano πππ€£π€£
π₯Uwe na siku njema MkuuHahaaa kila la kheri kwenu π₯
Na kwako pia cop ππ₯Uwe na siku njema Mkuu
Chalii πwe chalii miyeyusho laana
we chalii miyeyusho laana