Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,524
- 235,258
HeeNjoo sasa...au unatengeneza 🎂??
Ntakuwa nimepitwa tenaðŸ˜
HeeNjoo sasa...au unatengeneza 🎂??
🤣🤣🤣🤣Hivi kumbe kuna uzi mwingine huku eenhe ! 😂😂😂 nimeona na Mahondaw ameniita.
Haya Kwahiyo msibani tunavaa kivazi cha rangi gani? Nyeusi? 🤣
Zipo wet 😂😂
YaaniMhuuuu!
Tunapishana tu.🥴
WizooHee
Ntakuwa nimepitwa tenaðŸ˜
Nipo hapa wizo
No halafu mie ni WA nje sio ndani kwamba lzm niwepo Kila safari.Safari hukusafiri na Baba kwenda Kilimanjaro??
Sawa, nitakuja inboxNipo hapa wizo
Naomba oda tajiri
Nipe mwaliko mama mtumishiNo halafu mie ni WA nje sio ndani kwamba lzm niwepo Kila safari.
Lkn pia sbb tuko na maandalizi ya semina ya dar,zmeongozana sn,tunaanza j5 hapa kawe
Karibu sana ndugu yangu ktk Kristo!Nipe mwaliko mama mtumishi