Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

valentines day.jpg
 
Hata usiondoke haraka...kodolea maji macho mpaka ujihisi kama uko inlove na huo mto!!☺️

Na ulipaswa uende na basket ya picnic kabisa!!!
Niliona mtu amekaa zake kwenye jiwe anatizama waterfall. Akili ya haraka haraka ikadhani ana manifest.

Ingine kuna boat riding nikakuta viposh kid viko na basket 😂 ah nikajisemea riding ya nusu saa tu jaman mpk na vibasket?

Hahaa ushua ni mwingi kwako ehee. Mpk vi picnic basket 😂😂😂
 
Back
Top Bottom