Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,946
Ww mi naogopa hao wadudu 😞😞😞Nyoka ni msosi wenye protin nyingu sana. Ajichanganye tu atajua hajui
Karibu mishikaki ya snake
View attachment 2901939
Ww mi naogopa hao wadudu 😞😞😞Nyoka ni msosi wenye protin nyingu sana. Ajichanganye tu atajua hajui
Karibu mishikaki ya snake
View attachment 2901939
Pole sana, nimefutaWw mi naogopa hao wadudu 😞😞😞
No problem bffBff 😍😍😍
Usijali tulia cake utapata ila sio mpishi akiwaomba location muanze kumpiga chenga 😂😂😂😂
Nashindana nayo kabla hayajawa madogo! 😁Mwaka huu umeanza moto na magauni meusi🙌🏿
Khakhakhaaaa!
Khaaa!! 🤣🤣🤣🤣
Huwa siivishi vitunguu😂😂😂Leo hujala nguyai maana sijaona picha leo nione kama vitunguu vimeiva
Yakiwa madogo unaanza zile portion zetu wali kijiko kimojaNashindana nayo kabla hayajawa madogo! 😁
Ibada ya mazishi ya LowasaSiku gani? Ibada ya mazishi!? Rabbitus atakufa au nani?
Niko monduri naandaa mamboIbada ya mazishi ya Lowasa
Pale Azania ,itakua tar 14😅
We umetishaNiko monduri naandaa mambo