Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,545
- 18,252
Haya ndiyo mambo sasa.
Haya ndiyo mambo sasa.
Vyote naswagaBasi sikuwezi vipi kisungura?
Dr. Washa feni halafu rudia kupiga picha kwa poz hilo.
Mwaka mpya gauni mpya
Unanisingizia tuMtukutu huyu
Haka nilipewa zawadi juzi...😊Mwaka mpya gauni mpya
Mm yote ya twenti 23
WEWE NI MTU WA MWAMPOSA OG UNACHANGAMSHA GENGE TU.Vyote naswaga
Umemshtukia 😂 hata itikia yake. We muulize kisungura ana alcohol ngapi hajui.WEWE NI MTU WA MWAMPOSA OG UNACHANGAMSHA GENGE TU.
Toa hio emoji hapo kwa uso nawee !
Tuone😍Haka nilipewa zawadi juzi...😊
Utakapenda ukikaona vizuri!
Ili gauni lifunuke wee ni mwehu ujue hahahaDr. Washa feni halafu rudia kupiga picha kwa poz hilo.
Hahaha ha akiamua hata mistari ya bongoflava ngumungumu anakuchania huyu.Umemshutukia 😂 hata itikia yake. We muulize kisungura ana alcohol ngapi hajui.
Hapana, uzuri unaongezeka🤣🤣Ili gauni lifunuke wee ni mwehu ujue hahaha
😂😂WEWE NI MTU WA MWAMPOSA OG UNACHANGAMSHA GENGE TU.
😂😂
Mwamposa wa akina Mama
Sisi zetu bia😂
Idris ni chizi 😂
Ntakupigia siku nikilitoa out 😃Tuone😍
Kamenirusha roho😂😂
Nyeusi unyama ni mwingi sana🔥🔥🔥