Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Hahahahahaha...kitu Skai
Hahahahahaha...kitu Skai
I need you in my arms, need you to hold..
Mwezi Ujao natimiza 79 ujue 🤗Nimekuona,wewe ni Babu wa makamu,Kwa kipande tu nilichoona Babu utakuwa umekula chumvi Kwa kipindi Cha miaka 52...
Leo umesahau brazaI need you in my arms, need you to hold..
You're my world, my heart and my soul...
You are the good thing in my life...
💕💕
Kataja maeneo ya kwetu ndio maanaNani mwenzangu
🤣🤣🤣Huo ni UongooooMwezi Ujao natimiza 79 ujue 🤗
Hahahahaha upo MkuuKataja maeneo ya kwetu ndio maana
Duh hii kitambo kuona hii
Nimekuja,😂Umependa ka picha au umempenda rabbitus 😚 niweke moyoni sio wallpaper for phone.
Waione kwenye faili
cocastic, Mahondaw, Tayana-wog, Countrywide
😂Moyoni nishamuweka Yesu ananitosha, ya duniani yote ni ubatili 🤣🤣🤣🤣
HahahahahahaNimekuja,😂
Sasa mimi nikuulize upo serious au unatania? Kama unatania sawa, kama upo serious nakuambia ukweli kutoka moyoni lamomy bana ni kitu hakiwezekani
Niliwahi kwenye hii post ya selfie kuwaambia huko siku za nyuma kuwa hiko kitu wanachowaza hakiwezekani, wakaunda na sijui vigroup wakaapizana kwa gharama yoyote lazima wampate ilikua ni kazi bure.
Wengine njia zao wakaenda kwa marafiki wakaenda na kwa antonnia, antonnia nae mbio mbio kwa lomomy huyu hivi huyu vile, lakini nae hakujua ni jambo lisilowezekana, unapaswa kumsoma mtu ana principles gani. lamomy ni mtu mwenye akili nyingi sana, niishie hapa.
Kama utaniamini sawa, usiponiamini sawa.
😂🤣🤣🤣🤣 Wamatumbi linawakalisha ngozi nyeuc zote
Ni jokes tu chief ndio maana nikakutag🤣🤣🤣 (japo najua utasema kwani akikupa utakataa, nakataa ndio) LamomyNimekuja,😂
Sasa mimi nikuulize upo serious au unatania? Kama unatania sawa, kama upo serious nakuambia ukweli kutoka moyoni lamomy bana ni kitu hakiwezekani
Niliwahi kwenye hii post ya selfie kuwaambia huko siku za nyuma kuwa hiko kitu wanachowaza hakiwezekani, wakaunda na sijui vigroup wakaapizana kwa gharama yoyote lazima wampate ilikua ni kazi bure.
Wengine njia zao wakaenda kwa marafiki wakaenda na kwa antonnia, antonnia nae mbio mbio kwa lomomy huyu hivi huyu vile, lakini nae hakujua ni jambo lisilowezekana, unapaswa kumsoma mtu ana principles gani. lamomy ni mtu mwenye akili nyingi sana, niishie hapa.
Kama utaniamini sawa, usiponiamini sawa.
Huwa nauliza mapema na nasemaga ukweli😂Ni jokes tu chief ndio maana nikakutag🤣🤣🤣 (japo najua utasema kwani akikupa utakataa, nakataa ndio) Lamomy