Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Hakuna nafosi, wao ndio wameniambiaWw ndo unaforce iwe kweli…!!!
Tushachukua mahari 20mln [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hakuna nafosi, wao ndio wameniambiaWw ndo unaforce iwe kweli…!!!
Tushachukua mahari 20mln [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mbona unakomaa sana kukataa?Mfyuuuu.!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawakuwa serious eti Omulasil emu mwambie huyo
Saint anne dada mchungaji za masiku? Nimekumiss sana....
Mama mchungaji Tayana ametuheshimisha
Wapi walikwambia..??? 🤣🤣🤣Hakuna nafosi, wao ndio wameniambia
Bado tunaijadili posa ya mulasil kwahiyo hakuna uhakika wa kupata mke 🤣🤣🤣🤣Mbona unakomaa sana kukataa?
Yani kule ninabip tuu...ila leo nitakuwepo saa mbili za saa tano siwezi...
Ndiyoooo....Nimechekaa crop vzr my dear..usije achia viashiria vya utambuzi..
😂😂😂😂😂😂wamekufanya nini tena? daaa binadamu wabayaa
Tarehe 20 nitakuwepo mjini nitakucheck. Unipeleke na Tabataukiwepo dasilamu just say hi
Siku hizi nimekua mgeni machimbo hata ya hapo Mbezi siyajui namna mji nimeuachahahaha huyo hakuna chimbo asilojua....basi tu hayupo twn
Kweli kabisa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Habari,
JamiiForums inawakumbusha kusoma na kuelewa vyema Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Niwatakie mjadala mwema.
Huyu kumbe hujamjua akiwa na vibe..!!Shem bro amechafukwa. Unampa nini? Huyo mganga wako!!😂
Huyu kumbe hujamjua akiwa na vibe..!!
Mganga wangu sio muongo 🤣🤣🤣😂
Leo kakazana kuchochea umuoe tayana wakati mlikuwa mnataniana..!!
Kweli wewe hatari yaani hiyo dawa umemuwekea wapi hasa?😂Huyu kumbe hujamjua akiwa na vibe..!!
Mganga wangu sio muongo 🤣🤣🤣😂
Leo kakazana kuchochea umuoe tayana wakati mlikuwa mnataniana..!!
🤣🤣🤣🤣🤣Leo ningependa pia nitambulishe couple ambayo binafsi ni mhusika na rafiki wa karibu wa hao watu na mafoto yatafuata soon
Ni Kati ya Tayana-wog na ndugu yangu Omulasil
Yanawekwa wazi ili kuzuia mambo Kama yale yaliyosababisha hii post ikapigwa ban
Hakyamama ila wewe🙌umenishinda Tabia🤣🤣Ww mshenga wao.?? 🤣🤣🤣🤣
Tayana-wog kashachumbiwa na mtu mwingine kwanza km hujui