Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy waletreeeeeee waselfike waletreeeee wapi mama la mama Lamomy kuja uibles Jioni yangu pulllllllliiiiiiiiizzzzz 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Sema mm kama kawaida naomba nitoe maoni:
- Tatizo kubwa nililoliona nilipoingia huku ni unafki, nitaomba nikae chumba cha VAR nikiona kuna dalili ya unafki niiseme haraka wazi

- Pili watu kusema kweli wapo so desparate na kujamiiana, kikeni na kiumeni kote moto. Hapa ndio fitna na majungu vinaanzaga

- Waoga, hapa wanaume wenzangu zaidi huku mtu anampenqda kweli mtu flani Ila kuna kuogopana Sana, njia inatumika ni utani. Utaskia "huyu baby wangu", au nikae Mimi, kidogo anajistukia aah namtania bana na kujichekesha sana. Wacha huo ujinga, Hakuna cha utani wala nn anamaanisha kweli, Ila muoga.
hahahaha
 
Story fupi fupi picha kwawingi Kantri akee Lamama!
Naombapo utubles jamaneee
 
Back
Top Bottom