Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui kama umenielewa vizuri, hakuna sehemu nimesema umemtaka, au umeniundia kikao.

Nilichosema mbona kipo wazi hapo? Soma tena
County,plz wewe si wa mambo haya,wewe si wa kujibishana na watu....plz jilindie heshima Kamanda....hujui tu ila nikiyaona haya Naumia japo napuuzia Ili usije ona naingilia njia yako.Please...acha rafiki yangu(sijui kama bado ni rafiki)....ikiwezekana hizi jukwaa usiingie please
 
Funguka mzee.. kila kitu kiwe wazi...

Namsubiri Mwachiluwi hapaaa.. aje atoe maelezo.. vizuri.... nime mdiss mwanamke gani wa JF humu.. na ili iweje, zaidi ya kunipa namba za mademu tu huko ambao hata siku anagika nao.. na hiyo tulichata nae hata public... aje awataje hapa ambao nime wa diss..
 
National Anthem kaka yangu, naomba usinitag tena humu please
 
Kama wame eddit hizo message, Mwachiluwi mbona sinaga nae story PM.. mie na huyo mbona ni mbingu na ardhi.. huwa sina time ya kudhalilisha mwanamke na hasa kama simfahamu.. mawasiliano na huyo dogo ni ya namha za mademu tu alinipa namba za mademu.. na nilipo jilizisha sio wakali nikapotezeaa.. 😅😅😅
Dah maneno yame kuwa mengi, aje na evidence 🤣😂🤒
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bro yaishe, wala tusifike mbali sana. Lakini ukweli unaujua
😅😅😅 ngoja dogo aje.. mie muwazi.. Mwachiluwi nilichart nae PM na akanipa namba za mademu watatu.. mada ya kuanza diss mademu wa JF humu.. hiyo kama wame chonga hizo message mkuu.. ila humu pa kiwaki sanaaa ..
 
County,plz wewe si wa mambo haya,wewe si wa kujibishana na watu....plz jilindie heshima Kamanda....hujui tu ila nikiyaona haya Naumia japo napuuzia Ili usije ona naingilia njia yako.Please...acha rafiki yangu(sijui kama bado ni rafiki)....ikiwezekana hizi jukwaa usiingie please
Poa nimekuelewa ngoja nitulie. But wanachofanya hawa wanaume wenzetu huwa inasikitisha sana, wewe mwenyewe picha yako iliwekwa kati ukapondwa mnoo. Ukiwa hapa hadharani unasifiwa

Huu unafki aisee nimeukubali
 
Funguka mzee.. kila kitu kiwe wazi...

Namsubiri Mwachiluwi hapaaa.. aje atoe maelezo.. vizuri.... nime mdiss mwanamke gani wa JF humu.. na ili iweje, zaidi ya kunipa namba za mademu tu huko ambao hata siku anagika nao.. na hiyo tulichata nae hata public... aje awataje hapa ambao nime wa diss..
Sikia mkuu kila siku mm nahusishwa na mambo ambayo siyajui mwazo wala kichwa mwazo nilikausha maisha yaendelee nikaonekana bwege mjing leo kibao kimenigeukia mimi sawa

Mwazo niliambiwa wewe unasema mm nishawai kukuambia kuwa natoka na huyo dem tena yeye ndio ananipenda na kunihonga juu nikakausha sikutaka kumtafuta mtu si kwamba nilikuwa sina uwezo wa kumtafuta mtu na kumuuliza nilikausha kimya nikawa peac nikafanya kama hakuna kilichotokea mimi sina story na wewe kuhusu madem wa humu nilipo omba ushahid wa izo sms kuwa najitapa mimi natoka na huyo dem ziko wapi sikupewa mpaka leo

Haya naomba na izo text nilizosema hapa hayo mnayo nishtumu
 
Funguka mzee.. kila kitu kiwe wazi...

Namsubiri Mwachiluwi hapaaa.. aje atoe maelezo.. vizuri.... nime mdiss mwanamke gani wa JF humu.. na ili iweje, zaidi ya kunipa namba za mademu tu huko ambao hata siku anagika nao.. na hiyo tulichata nae hata public... aje awataje hapa ambao nime wa diss..
Doh, haya bro.
 
Poa nimekuelewa ngoja nitulie. But wanachofanya hawa wanaume wenzetu huwa inasikitisha sana, wewe mwenyewe picha yako iliwekwa kati ukapondwa mnoo. Ukiwa hapa hadharani unasifiwa

Huu unafki aisee nimeukubali
haya maneno maneno ndio mnakosea, inabidi mnafunguka mazimaa.. unafunguka mazima nani kafanya nini.. na kama vipi kiumeni unawavuta watu huko PM undeni group pasuaneni .. mkirudi huku mnakuwa mmemalizana.. ila mambo ya kificho ficho inaishia watu kutembea kwa kujihisi
 
Back
Top Bottom