Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,111
- 95,787
When the big brains are busy doing magics and wonders, SI tuko bize kutafuta distraction 🤒.
Comment moja unareply mara mbili mbili vipi? Umepanic?Oyaa naona Bado una lalama, Kama vipi Kafie mbele.
Who the hell do you think you are??, Kill saaa una Tafuta attention maza fantastic wewe.
Umemcheck kumpa pole?Wameshindwa kusameheana yaani tabu tupu

😅😅😅 mwakani nitakuwa serious sana issue za imbeded tech pamoja na IoT.. mwaka huu naandaa mazingira.. pia namalizia ujinga wangu wa mwisho mwishoWhen the big brains are busy doing magics and wonders, SI tuko bize kutafuta distraction 🤒.
View attachment 2745083
I believe, I believe😅😅😅 mwakani nitakuwa serious sana issue za imbede tech pamoja na IoT.. mwaka huu naandaa mazingira.. pia namalizia ujinga wangu wa mwisho mwisho
Mbuzi??Bro mtu Ume mu ignore, still ana talk trash Kama taarabu.
Nime mpa chance, Hizi vitu tuvi malize kwa action- still kagoma.
Halafu hasira zote, kisa Ni mbuzi mmoja KUPEWA ban- for real
![]()
Nasubiri To yeye akinizalia nimpe hii chuma chini 👇👇👇I believe, I believe
View attachment 2745097
Mm mwenye ugonjwa huo na wewe pamoja na crew yako mliogeuka kuwa wambea unaona bora kipi?Shida Kuna mtu ana ugonjwa wa simping.
Nikuzalie mara mbili? We si ulikataa mtoto wako ukasema ulitaka wa kiume?🙄Nasubiri To yeye akinizalia nimpe hii chuma chini 👇👇👇View attachment 2745100
Mngejua umbea wanaopigaga huko, ni basi tu. Kama hawakujui omba wasikujue kamwe, huo ndio ushauri wangu kwako.Basi endelea kuignore, if you see him talk you ignore no matter what,bila hivyo kila siku na kila uzi mtakuwa mnagombana tuu. Mmoja akikaa kimya mbona malumbano yataisha
mtoto huwa ni wa kiume baby 🥰🥰Nikuzalie mara mbili? We si ulikataa mtoto wako ukasema ulitaka wa kiume?🙄
Siwez,niue kwanza ndiyo unikojolee tena🤒mtoto huwa ni wa kiume baby 🥰🥰
mtoto wa kike sio mtoto wa baba.. hiyo toka enzi na enzi .. mwanaume ndio anatunza ukoo sio mwanamke.. tusake wa kiume sasa
Najua sana mkuu, humu ndani ni kuishi kama watu wanavyotaka uishi. Hata wakipiga umbea huko ni juu yao na shauri zao mwisho wa siku they don add anything on my/ our plates.Mngejua umbea wanaopigaga huko, ni basi tu. Kama hawakujui omba wasikujue kamwe, huo ndio ushauri wangu kwako.
Keteni mziki wa fitina, wekeni ushahidi wa hayo mambo huko .. pumba na mchele vitengane.. kuliko maneno kwa wanaume ( watoto wa kiume havifai )..Mngejua umbea wanaopigaga huko, ni basi tu. Kama hawakujui omba wasikujue kamwe, huo ndio ushauri wangu kwako.
😊😊 ujue wewe wangu wa kufa na kuzikanaa..Siwez,niue kwanza ndiyo unikojolee tena🤒
nipo bro sema nimetulia naona watu bado wanagombanamtaalamu wangu mshamba_hachekwi nakuona nakuona mtaalamu wangu