Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Like serious? Bt how? Kwann ht nimekuja hapa
Serious, huyu alileta mambo ya nyuma sana yaliyopita miezi miwili huko, kwenye kubishana ndio akapigwa ban

Cute wife alimsadia dogo humu kama mdogo wake tu tena kimya kimya tu. Yule dogo kwa wenge akihisi labda mm sijui, maana nilimwambia hamuwezi kuonana na nilikuwa naelewa nachomwambia. Cute wife alikuwa china, huyo dogo yupo tz, wangeonana vp? Na hata cute wife angekua tz wasingeonana, ni jambo ambalo haliwezekani

Dogo akaleta humu masifa yake kujifanya wameonana. Hiyo kitu cute wife hakupenda Ila alikausha tu

Baadae dogo alivyozidi kuzingua ndio akamuambia hata hiyo siku hakupenda alichofanya. Maana alimsaidia kimya kimya yeye akaleta huku. Dogo akaomba msamaha yakaisha. Kumbe inaonekana dogo na hawa wenzake bado walikua nayo moyoni, kwa nn cute wife aje aseme hadharani amemsadia.

Zimepita siku nyingi wanakuja kuibua tena hili jambo juzi. Hapo ndio kubishana na hatimaye ban
 
Duh..
 
Intelligent businessman vijana dar vina waharibu hivi 😅😅
Screenshot_20230910-145413.png
 
Back
Top Bottom