[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenitukana vya kutosha ujue siwezi tena kuendelea kuvumilia matusi yako,, enough is enough na mimi nina moyo tena wa nyama eti..
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mie ni mlezi.
Mfyuuuu jishaueM
Hivi yule kamaliza kumbe? Nilijua bado kanasoma. Hapa tuna watoto watatu walograduate ila hata mialiko[emoji134][emoji134][emoji134]Mwambie roho mbaya haijengi; na yule mwenzie aliyemaliza Udom
Mambo ya Kibamba chama[emoji238][emoji231]View attachment 1279155View attachment 1279156
Ndio asante kwa kinyakyusa hiyo?
Mie mwalimu.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Nialike na mimi shee.Jumamosi mnadani loliondo USIKOSE
Mwambie roho mbaya haijengi; na yule mwenzie aliyemaliza Udom
Oooh! Okey.Labda kinyakyusa cha malawi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utoto raha.
[emoji23][emoji23]tatizo ningekualika ungekuja sasa?? Tena wewe uko karibu kabisa hapo tu yaani
Hivi yule kamaliza kumbe? Nilijua bado kanasoma. Hapa tuna watoto watatu walograduate ila hata mialiko[emoji134][emoji134][emoji134]
Ndio.Unaona majibu yako??
Sidhani kama kamemaliza kae, katakuwa ndio mwaka wa2 labda.Nafikiri na kale kamemaliza
Umesema una watoto wanne, wa kwanza ana umri gani?Mie mwalimu.
Eeeh kumbe bado hakajamaliza jamani mweeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yule bado hajamaliza jamani msimsingizie
Kumbe bado hakajamalizaSidhani kama kamemaliza kae, katakuwa ndio mwaka wa2 labda.
8Umesema una watoto wanne, wa kwanza ana umri gani?