Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji41][emoji41]looh hivi mimi ndiye nilisema hivyo??
Hivi umesahau siku ile unatoka Mbeya ulisema unatoka wapi? Na mkawa mnaongelea mambo ya graduation. Haitoshi kuna siku mkawa mnaongelea mambo ya umri. Nikabaki hiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom