Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,853
Kudadekiii 😂😂😂😂Hebu nitoe kwa hiyo list fasta,, usiniweke kwa kundi moja na vifaranga mimi..
Kudadekiii 😂😂😂😂Hebu nitoe kwa hiyo list fasta,, usiniweke kwa kundi moja na vifaranga mimi..
Emu wacheni kujimwambafai hapa 😂😂Nilikuwa namalizia form 4 mwaka 95
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna baby
.s
Nilikuwa namalizia form 4 mwaka 95
Kwakua u bado yai?Hebu nitoe kwa hiyo list fasta,, usiniweke kwa kundi moja na vifaranga mimi..
Kudadekiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda ukubwa wewe[emoji16][emoji16][emoji16]Jesus, 95 niko la7.
Kwakua u bado yai?
Muulize atoto; ni mdogo angu wa piliEmu wacheni kujimwambafai hapa [emoji23][emoji23]
Toooba!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Anipige ban ya maisha au nitolewe kabisa JF?
Sikufitini, kwanini binti unataka kujizeesha? Unataka nini?
Thubutuuuuu!Nilikuwa namalizia form 4 mwaka 95
Siupendi ila ndio uhalisia.Unapenda ukubwa wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe bado ni mbegu hata hujawa yai[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Say Sorry..
Una watoto wangapi mpaka sasa?Siupendi ila ndio uhalisia.
Hivi umesahau siku ile unatoka Mbeya ulisema unatoka wapi? Na mkawa mnaongelea mambo ya graduation. Haitoshi kuna siku mkawa mnaongelea mambo ya umri. Nikabaki hiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nashangaa eti watu mwaka 95 wanaongelea habari za la 7 sijui form 4 wakati mie huo mwaka nilikuwa zangu namalizia phd
Wa4 wa kuzaa jumlisha 500 ninaowalea.Una watoto wangapi mpaka sasa?
Lete birth certificate yako niweke na yangu hapaThubutuuuuu!
Hongera madame kumbe una PhD[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nashangaa eti watu mwaka 95 wanaongelea habari za la 7 sijui form 4 wakati mie huo mwaka nilikuwa zangu namalizia phd
Huna adabu, unataka kushindana na mama yako[emoji134][emoji134][emoji134]Lete birth certificate yako niweke na yangu hapa