Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umeifaidii selfikaaa.
 
Hiyo zawafi yake napokea mimi madam
Tuna makubaliano ya kisheria kabisa zawadi zoote za cocastic napokea mimj
Naomba inifikie chap[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hogopiiii?? Chako changu, changu ni changu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe kuna pic za watu humo ni hatareee tutaleta tafrani
Subiri siku nikilewa ndio nilitume au nikupe wakikuvuruga ofisini ushuke nalo!!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]
 
Leo umeamuaaaa, hakika shouzzzzz heka heka unaziwezaa, na umefuzuuuu.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] sina cha kukudaiiiii.
 
Tapikaaaa shouzzzzzz,
Temaaaaa temaaa manenooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaumee km mabintiiii, wanawakee toleo jipyaa afu hawajaji kubaliii achanaa naoo.
Wasikupe jashoo bhana wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naniii huyoooo?? Mtajeeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…