mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,365
- 75,658
pakitulia uniite nije niselfike😅Weka yako [emoji57][emoji57]
Nipo wanguWii upo?
Vipi Baba alifundisha vitu gani huko Dodoma?
Hakuna extra roomNije kulala huko leo? Maana huku kwetu kuna baridi sana. Ntakubebea ka wine.
"watu wakweli hueleweka kirahisi"Mie nimemaliza mkuu!
Niku oneshe gumba😁Ndio😬
Ni ya nani?
Niki mtaka, najua pa kumpata.Tayari ushaachwa hivo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mapenzi yetu ya selfika raha sana
Kwa kifupi wewe unatakaje mkuu ??? Mie mgumu kuelewa asee tumia maneno mepesi zaidi ili nielewe haraka"watu wakweli hueleweka kirahisi"
Dah SI yali Isha😁🤣😂, au uswahili Ume kujaa🤣😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna kusamehe wambea tutakosa cha kujadili!! Udugu Antonnia kabla ya kusamehe nitumie pic za aliyebong’oka kwanza!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Kantri unajua kuna pic ya mtu kavaa bikini [emoji160] afu kubong’oka??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe tena si ulikuwa na jambo lako humu limeisha [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku nikianza kukaa mwenyewe Dunia itageuka[emoji1787][emoji23]Ninaa karibia mwaka , sikai nyumbani .
Nishakuwa mzoefu sasa .
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya maths tafuta thamani ya "y", hadi leo y hujampata
Kungwi mnyakyusa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makungwi wa kweli wanapatikana Pwani tyuuu!! Hao wengine wa michongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi yaishe best🤣😂.Ndio😬
Basi hatutazima taa. Na ukiogopa zaidi mi ntalala chini we ulale kitandani.Akhu usiku mrefu ..
Sitaki kubet
pakitulia uniite nije niselfike[emoji28]
Kinachokukasirisha kitakutawalaKwa kifupi wewe unatakaje mkuu ??? Mie mgumu kuelewa asee tumia maneno mepesi zaidi ili nielewe haraka
tulia hapo hapo usiondokeMinywele umenyoa kwanza? Usije km yule aliyetolewa mapepo na Yesu yakahamishiwa kwa nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji57]