Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji16][emoji16]! Uduguuu Insider alitupia episode 37 ndio nipi napitia hapaaa!

Hiyo tutasoma baadae muhimu hayo mafunzo ya asali na me nataka nimteke mtoto wa mama mkwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jichekeshe!! Subiri nichukue ujuzi wa asali utanikoma!! Kaniambia atanipa ya Pipo kifua km nyongeza [emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona pia unachukua maelezo jinsi ya kutumia bamia[emoji1787][emoji1787]
Mwaka mgumu sana huu
 
[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji16][emoji16]! Uduguuu Insider alitupia episode 37 ndio nipi napitia hapaaa!
Antonnia samahani kuna swali naomba kuuliza, kama hutajali.
 
Back
Top Bottom