Selfika na JF: Snap it. Show it


Mufindi
 
🙌🙌😁😁Wasamehe mama wamekoma
 
Ila wadada baadhi wa Humu, mna chekesha Sana.
Mna act ni marafiki, ila still mna snitch ana.
Mme tengeneza team za kutusiana dah
.
Uki uliza kisa
, utabaki una jichekea
Ni upumbavu na uzwazwa wa hali ya juu
Kama wamekosa malezi.

Kila siku kutupiana vijembe.

Wanatudhalilisha wanawake wenzao.
 

Kwann lkn??
 

Kuna manara humu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…