Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,048
Kwahio unanipangia cha kufanya na maamuzi humu?? Kwamba kwakua hao wamezushiwa wakakaa kimya ndio nawengine tufanye the same???? Hapo Umekwama sana !Tatizo unaongozwa sana na hisi kuliko uhalisia. Hoja ilikuwa kwanini watu imekuwa wanachafuana sana .. swala la kuzushiwa kila mtu kazushiwa na kuchafuliwa kwa namna mmoja ama nyingine.. Haya nani afanya hayo kwa watu ? Tume mpata Penseli 4.. na kuna mwingine huyo Rabi.. na pote huko wengi wamechafuliwa kwanini hawajapani sana kama wewe ? Maana kuna watu wameambiwa wana ukimwi wengine mafigo etc.. kwanini wamekaa kimya ila wewe ulie pewa sifa nzuri umekuwa msatari wa mbele kushambulia ?