Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mimi ninayo ya ule mguu...Ni hatari Sanangoja nikutumie
Mimi ninayo ya ule mguu...Ni hatari Sanangoja nikutumie
Asante dadangoja nikutumie
Ah mie tena kwa ugweche na mandondo wote mnasubiri mbona
Fukia viporo kadri muwezavyo
Lile tende dada
Ile ya mwanya niliiona tena nilimuambia kabisa kuwa kafanana na dada yanguIpo huko juu page six nahisi.
Afu page mia na points akajiweka, nasikia ako na mwanya, ako na churaa amazing, ako na mguu wa bia ako na kila kitu kizuri zuri ila sasa kafuta
We Sakayo emu njoo hapa
Subiri.Acha mambo yako hayo tuma picha
mlozi anayevaa suti😁😁Kiofisi zaidiView attachment 1219294
Sawa dada nimeacha
Hii fani yenu na kina Lizarazu huku muipumzishe kidogo![]()
Halafu mwite Lizarazu atuwekee yakeSawa dada nimeacha
Acha kabisaTunafanyiana ukatili Hadi chitchat jamani![]()
Haha na wewe umeziba Jana usiku au jioniHahahahahaha
Nimeuzibaa
Haijapoa hadi nionePoleeee
Nioneshe tafadhali 🙄Abeeee
Treni eeeh!??!
Sasa jaribu kuchelewa Basi pale aljazeera wakati wa kula utaona Kama huwa linarudi au linasimama![]()



sasa si utafaulishwa tu