Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,501
- 203,203
Sijaona niliona story tu 😢Hivi uliiona eeehh
Sijaona niliona story tu 😢Hivi uliiona eeehh
Aloooooo
Na wewe mbona hautumi jamaniSerious mkuu niamini ninazo 3
HahahahahahaWewe nyau naomba kuona mwanya wako
![]()
Ulishawahi ona bus linarudi nyuma kufwata abiria??



bus huwa linasimama au linarudi, train ndiyo huwa haifanyi hizo mbishe ikiondoka imeondoka na hautakiwi kuidandia.Lile tende dadaAnhaaaa...niliona bonge la guu![]()
Kwamba kila mtu umemtumia picha tofauti??Ngoja nione utakayo ichomoa.halafu nitajua ni Nani aliyekupa
PoleeeeSijaona niliona story tu![]()
Treni eeeh!??!bus huwa linasimama au linarudi, train ndiyo huwa haifanyi hizo mbishe ikiondoka imeondoka na hautakiwi kuidandia.






Haipo walaUlienda wapi dada mbona ipo pale juu?
Acha mambo yako hayo tuma pichaUlienda wapi dada mbona ipo pale juu?
PoleeMimi sikuona![]()
Niliweka sabaKwani aliweka ya Jackie Appiah??