[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kaoge alikua na balaa lake mjini, sio kwa ngosha yulee woiiiiih.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niliwahi kukutana naye coco nikamtazama jibu alilonipa nilichooka!!!
Eti, “Mitako ile emu fanya mambo yako, nitakuibia bwana huyo ulie” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ana leta upuuzi kwa asiye mjua[emoji855].
[emoji117] Wanao nijua Wana nifahamu, so siwezi chukia kudisiwa na huyo mwana haramu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kaoge alikua na balaa lake mjini, sio kwa ngosha yulee woiiiiih.
Ila mbona hufananii na ukorofi wako eti?😅😅😅😅 nikuuzie bei sawa na bure.. nakujua we si ndio master modView attachment 2727543
Amzoee naniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinambie udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Emu mkaushe damu asikuzoee
Uzuri kule wote washua
Kawehuka huyo🤣😂😂, Wanao nijua Wana ishia kumdharau tu,.Golikipa kweli hayupo?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila me sikai huko, nakaa ulongoni gomz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyagi , Bange, Mikopo bank.. kucheleweshea kulipwa, umeninyima nyamaa.. mafuta kupanda bei 😎😎😎..Ila mbona hufananii na ukorofi wako eti?
Nimemchafua nani humu???😅😅😅 Huyu mama namuheshimu sana. Nayaacha kama yalivyo, sema mapombe ya jioni haya mabaya sana.. sema kama atakuwa muungwana ataacha uswahili na kuendelea chafua wengine..
Halafu si bure huu ugomvi umefurahii[emoji2372][emoji51]
Kwa kweli utatisha sana hebu fanya mambo chap. naahidi nasubiri.Vocha nitakupa me ila subiri coca afike kwanza
Punguza mkuu bangi huko unapo elekea utakula makofi😬😬Nyagi , Bange, Mikopo bank.. kucheleweshea kulipwa, umeninyima nyamaa.. mafuta kupanda bei 😎😎😎..
Twende mjengoni shangazi basi.. tuache hapa watu enjoy.. unajua nini wagombanao ndio wapatanao ( in wahenga voice ).. 😊😊😊😊.. sorry 🥲Nimemchafua nani humu???
Wanajichafua wenyewe kwa mambo yao mie sihusiki tasavaliii!
😅😅😅 nataka nyama na damu sasa wewe usiniletee ndio utajuaPunguza mkuu bangi huko unapo elekea utakula makofi😬😬
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]