Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba mchanganyiko wake hapo juu nami nataka niipike best
Kidari cha kuku,kitunguu maji,garlic&ginger paste ,hoho na karoti unaweza kuongeza mboga mboga zingine,pia kuna sauce yake ya kulia ambayo unablend mayonnaise,juice ya chungwa,pili pili manga ,tangawizi,garlic vya ya unga,ketchup vipimo utakadiria kulingana na wingi wa sauce yako ila mayonnaise ndo ingredient kuu ya sauce hiyo
 
Shukrani jibini ile nyeupe una mwagia kwa juu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…