Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Sema uko POA pacha???Na nongwa zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wazungu mko wapi??? Aiseee!! Ko wewe unavyokazia na kufukunyukua pic ya babu wewe nani?? Na wewe dr kumbuka uliyechangamka tyuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakuwa Celeb JF na unapata reactions nyingi kwa kupost vitu visivyo na staha. Halafu ukiwa nje ya JF kwenye maisha yako halisi unakuwa mtu mwenye msongo mkali wa mawazo.
Sema uko POA pacha???
Tayari MjukuuSawa babuu tunasubiria!
View attachment 2727256
Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage[emoji2957]
Kweli tumekula chumvi nyingi [emoji847]
Tayari MjukuuNasubiri granpa [emoji4][emoji4][emoji4]
Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 🤪Oyooooooooo!! [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Babu wa moto una haki wajukuu tujigonge [emoji39][emoji39]
Daah 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Me huyo nina msongo wa mawazo??!!!! Aiseee!! Basi wewe utakuwa na MSUNGO
Afu usinipangie cha kupost sawa!!! Endelea kujitibu macho bro
Tayari Mjukuu
Ila ungekuwa karibu ungenisaidia kuvuka barabara leo, kuna Kilabu cha jirani nataka nikanywe na Wazee wenzangu sasa kuvuka ndiyo changamoto [emoji2957]
UbarikiweSawa ngoja nitaongea nae!
Dah Jamaa wa 40-50 ana jiita mzee wa 70🤣😂😁View attachment 2727256
Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage🤪
Kweli tumekula chumvi nyingi 🤗
Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 [emoji2957]
Daah [emoji23][emoji23][emoji23]
Kulikuwa na selfie au sio🤣😂😁, 👉👉👉camera ilikuwa Ina Uwezo wa ku catch object na back ground ehh😂🤣🏃🏃🏃Kwasasa nimezeeka Babu yenu maana hiyo picha ni ya mwaka 1967 🤪
Ali Rudi🤗, na hatu jawahi achana🤣😂Vipi kwanza wifi alirudi au ndo kakubwaga mazima??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ha ha habari ndo hiyoooo
Ajira woyeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babuu katishaaa!!! Na jf yote yake ndiomana anagawa ajira km njugu dadeq
Kwa kweli, bora waje wanisaidie Babu yao kuvuka barabara