and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,987
Sasa si ndio maana ya kuwa cub au?anafaa huyo kanizidi kidooogo😋 ila pointi ni kwamba kanizidi
Sasa si ndio maana ya kuwa cub au?anafaa huyo kanizidi kidooogo😋 ila pointi ni kwamba kanizidi
Mwambie huyoAmesema ye ni lishangazi.. kijana una feli wapi?
hata sio double digits, we mchuchu kabisa😋Kidogo?😂😂
We unataka aliyekuzidi saaanaa?anafaa huyo kanizidi kidooogo😋 ila pointi ni kwamba kanizidi
sichagui mkuu hata aliyenizidi mwaka ananiturn on😂We unataka aliyekuzidi saaanaa?
Pambana sasa Mkuu, are you muslim?sichagui mkuu hata aliyenizidi mwaka ananiturn on😂
agnosticPambana sasa Mkuu, are you muslim?
ok, naamini siku moja utabadilika.agnostic
hali ya hewa imebadilika ghafla😂ok, naamini siku moja utabadilika.
Sawa mkuu, ngoja nianze kutafuta mashangazi muda huu 😀, nikutakie asubuhi njema.hali ya hewa imebadilika ghafla😂
05:23it Mean no malice to nobody
SafiiView attachment 2726904
Green thai curry with fried rice and for desert its Louisa Cake
Wote na we na nani?Nasubiri tu left wote.
Hahahaaa!!!Wote na we na nani?
Nakuaminia Jeshi la mtu mmoja!!💪Mwali kigego umekosa soko, huna hata wa kukupigia mluzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti "ptuuuuu!!!" Kidampaa tulizanaaa utateseka na mie milele yoteee.
Wacha nichekeee, toka nikufurushe na hoja zako uchwaraa unanijia kwa nywilaaa.
Weraaaaaaa weraaaaa, waleteeee waleteeeee.
Mie ndo coca, yuko m1 tyuuh JF. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpambe kazini!😏Walipue tu mkuu, I mean no malice to nobody