Watu kwa kupenda kiki utawaweza!!!! Mxxiewww!!Shetani mwenyewe simuogopi, ndo nimuogope yeye?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema babuu kwenye lile pdf kajipakulia minyama eti yeye kamla……..?!! Khaaaaaaa!!
Hakujuiii kama weee ndo mrs mavouchaaa kwenye 1 2 na 3 zoutree!!!😊😊Ila kuomba mume wa mtu mahitaji mbele ya mkewe unawezaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekua binti mkubwa sasa eeeh??
Inaonekana humu vocha ni tatizo sana eeh ?Hakujuiii kama weee ndo mrs mavouchaaa kwenye 1 2 na 3 zoutree!!!😊😊
Nilipata dawa ya alergy ya nyama buana sikuhizi kam kauwaaa😋😋!!Mimi nyama sipendi kama imepikwa vibaya
Ila ikikolea viungo
Tangawizi na kitunguu swaumu Cha kutosha kabla haijapikwa
Hapo hata ukichemsha tu inannoha ..hata Kila siku nakula
Ni vile tu hela sina.
Sidhani kama ni tatizoInaonekana humu vocha ni tatizo sana eeh ?
Weraaaaweraaaaaaa👏👏👏👏👏👏👏👏!Soko letu halijawahi kuyumba sisi km dollar tunayumbisha shillings (black mamba) tunavyotaka yani!!! Muda gani ishuke ni sisi tunaamua
Emu tujipigie makofi tafwazaliiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ma snitch ka wewe nangoa wigiMpambe kazini!😏
Nakubali Kaka, ila ndo nini hiki huko daslam 😁🤣View attachment 2726904
Green thai curry with fried rice and for desert its Louisa Cake
We kweli?Nilipata dawa ya alergy ya nyama buana sikuhizi kam kauwaaa😋😋!!
Afu dawa ya kiasili tu ya mitishamba!!
Wahaya kwa traditional medicine wapo vizuri sana!!
Nakuzidi wewe???? Umesahau Pua na komwe 😏😏😏😏😏!!Ma snitch ka wewe nangoa wigi
Hapa Labda iku okoe hiyo pua🤒🙃
Ile haikunisaidia afu ilikua ya bei kweli hii ya mitishamba tu ndio imenisaidia afu ya buree tu mwenyewe Ndio niliamua kulipa fadhila!We kweli?
Na Mimi nataka
Vipi Ile ya Ngariba 1 aliyokuahidi ilisaidia?
Sema unatakiwa uitumie majani yakiwa bado mabichi hayajakauka unaitumia na nyama!!We kweli?
Na Mimi nataka
Vipi Ile ya Ngariba 1 aliyokuahidi ilisaidia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu unateseka wee, kuliko huyo mzazi wangu.Mzazi wako nae anasema mbele ya rafiki zake huku akijivunia nina kijana., kijana mwenyewe yupo LG.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sihitajiii usaidiziii, we mwenyewee unaelewa shouzzz angu, nikianzaa kukiwasha hakuna anayeweza kuzimaa.Nakuaminia Jeshi la mtu mmoja!![emoji123]
Asantreeeeeeeeee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezaa sautiiiiiii.Hakujuiii kama weee ndo mrs mavouchaaa kwenye 1 2 na 3 zoutree!!![emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu wetu Cute Wife anasema babuu, sasa nilipo unlock code, kumbe sio babuu, ni kijana wa makamo, ila uduguuu wetu ana muita babu kwa 7bu zake binafsi.
Una miaka mingapi kwanza?? 😂😂😂 Kwanza wee hupendi uzee wewe!😊Boss lady kwani mimi sina sifa za kua babu??
Tofauti yako na babu muhusika, yeye anafanya wazi wazi, wewe unafanya kwa kujifichaa.Boss lady kwani mimi sina sifa za kua babu??