National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅😅😅 umenikumbusha mbali .. siku hiyo nipo ofisini kwa mkuu wa shule enzi hizo Kinondoni Muslim.. tumeongea badae nikapewa pindi la Physics, mie akili yangu ilikuwa inawaza mbali tu.. huku nachapa pindi.. uhuni huuu.. tungefungwaa wengine aisee.. vitoto vya Zanaki kule kimoja sasa hivi kimekuwa ki mwanasheria maarufu.. Umenikumbusha mapambano ya maishaNa umefundisha rajani secondary na mumbu Islamic.