Selfika na JF: Snap it. Show it

A [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na siku ya mabomu nusu tuvunje milonjo aiseee!! Jirani yangu alibeba paka akajua mtoto, kafika banana anashangaa nyau nyau alizimia kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu niwachee ebooh!!
Hapa sina mbavuu.
 
@Mjep njoo huku uone unapewa maua yako, [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu na na shem zenu mjinii.
Acha ni ringe kwanza
Nina shem wa uhakika
Hapa nasubiri mzigo wa vocha na sikugawiiπŸ˜…πŸ˜…
Si mwenyewe uliyaona yale maokoto ya jana😜
Mungu anipe nini tena?
 
Duh!! Me mbona siwezi utapeli?? Emu nifundishe nimtapeli babu migambuti kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikutana na wajanjaa alivuliwa penee kadhaaa,
Watu wakapita hivii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bèta sol na maji ya carolite hutaki? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sabuni ya jaribu ipo boss, kipako kiwe pambe
Kheeeeh mama sinyarii, tafadhari hivyo vipodozi ndo ulotaka umpe mke wa waziri mkuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ni ringe kwanza
Nina shem wa uhakika
Hapa nasubiri mzigo wa vocha na sikugawii[emoji28][emoji28]
Si mwenyewe uliyaona yale maokoto ya jana[emoji12]
Mungu anipe nini tena?
Unatafuta kuachikaaa au? Mzigo unifikie km utakavyo upataa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…