Mahind waiiolima kwenye mwinuko walivuna sanaHawa kupata nini π€ππ€£
Nileteee PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajipendelea huyo balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π π π π nipataje .. alafu nikipata utanipa niniπππHupajui
Nshakujaaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaah wee [emoji23][emoji23][emoji23]Ukifua vinaruka vinapanda juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
π π π Pacha usilale kaa na mwizi huyoo.. unaweza nawe toboaa mazimaa tukakusahahu kama Dahanπ€£π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kuwezaaa?Hamia Burundi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au unajua alikoπ€, maana una macho makubwa so unaona mbali zaidiππ€£.π€£π€£π€£
karume kenge eeh π π πDah Dahan popote ulipo jua we kenge tuππ€£π€£
Solar panelsUmecharge kwenye jenereta? [emoji1787][emoji1787]
π π π π Pacha Ms eyesAu unajua alikoπ€, maana una macho makubwa so unaona mbali zaidiππ€£.
National Anthem ona hiππ€£
HeeSi ndo huyo figo76
Wee hujui alikua anapora watu pesa PM, akijifanya mwanamke kumbe Dume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawaliza wengi mbna, ulipitwa wapi mbna alishtukiwa akaandikiwa uzi.
Uchawi sio lazima uwe na tunguliππ€£,π π π Pacha usilale kaa na mwizi huyoo.. unaweza nawe toboaa mazimaa tukakusahahu kama Dahan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nae kwa kujifanya ana tender za kazi, si aliwahi nambia eti nikimaliza chuo tyuuh nimtafute ili anipe mchongoHatimaye!!! Babu yako upara anakusalimia, anauliza hutaki kazi [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
π π π π mapidiefu nime print nimewapa mamalishe wafungie msosi siku ukibahatika pita makumbusho ukinunua msosi waweza kuta kifurushi chako cha kugonjaKwenye pdf sipo ee?
π π π π anaangalie motoni anitazamie jina languUchawi sio lazima uwe na tunguliππ€£,
Ishafutwa now, ila ilikuwepo na wengi wamelizwa.Hee
Lini tena?
Mbona sijawahi Iona hiyo ID?
Karibu kwetu jiraniMe Niko bomba jirani