YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Hela za kuhonga natoa wapi Babu yenu, na hivi naishi kwa Kulima na Pension za kustaafu tu [emoji2957]
Kwanza hizo nguvu za kukimbizana na Wajukuu nazitoa wapi kwa umri huu [emoji2957]
Ila babu unatuchora humu km sio wewe vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]