DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Humu wahuni wengi sana. Ndio maana niliji refrain kushiriki kikamilifu kwenye huu uziutauziwa [emoji238] kwenye gunia
Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa
cc Hazard CFC
Humu wahuni wengi sana. Ndio maana niliji refrain kushiriki kikamilifu kwenye huu uziutauziwa [emoji238] kwenye gunia
Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa
cc Hazard CFC
MkuuBado huamini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wataalamu wanasema yakianza kama ugomvi mbeleni yanakolea sana, ngoja niwe na subiraa[emoji23][emoji23]
Kuna wana wanatamani kupigwa miti kudadekiUmekomaa kabisa mzeebaba?
Unatamani ungezaliwa jinsia yao unaona wanafaidi kinomaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheusi ntaweka picha,......
Nshaweka tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unitag tafadhali.
Kwanini mnatumia picha za watu and yet mnazi crop ?
Weka ile ya siku ile
Ndio ndio.Au siyo
Nasubiri.Nakutumia pm
Sitaki ya hivyo bwana!Nshaweka tayari
Ndio ndio.
Sasa natumia simu, picha nazoweka hapa ni zile ambazo ziko kwenye akaunti za mitandaoni. Umemuona cheusi sasa ???Sitaki ya hivyo bwana!
Kama ile ulofuta.
Watu wana nambaSasa hapo mkuu tutakusaidiaje, kama jamvini hajajongelea muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa natumia simu, picha nazoweka hapa ni zile ambazo ziko kwenye akaunti za mitandaoni. Umemuona cheusi sasa ???
Safi sana mzee, Clarks nina historia nazo ndefu kidogo. Lakini mpaka leo ndiyo napendelea sana kuvivaa.Clarks me prefer.
Vifupi au virefu? Vyeusi au vya brown?
Nikiambiwa nichague, nikashindwa. Nikachukua vyote.
View attachment 1278443