Unazijua tangawizi?
Kwakweli.Itakuwa sizijui
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Akili nyingi sana kama mimi baba paroko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo picha sijui nani anakuja kwa taswira yanguu
OkayLooking forward to
Pizza umejaza sana vitu juu yake itaiva kweli best.
Nimekupa sifa kwa lugha ya tekelinalokujia 'tekinolojia'[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Ndio umenitusi?
Aimennn baba parokoAkili nyingi sana kama mimi baba paroko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wallah hata mie nikimuangaliaga huyo mbwa kuna mtu huwa ananijia kichwani,, Mungu anisamehe mimi..
Mwe mwe mweeeeeh! [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nimekupa sifa kwa lugha ya tekelinalokujia 'tekinolojia'
Huogopi ambiwa #Unikome[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]khaa nimefanyaje mimi kwani
Si umtaje tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo mimi huwa sijuagi ni nanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huogopi ambiwa #Unikome
Picha gani mpendwa?
Uwe unaanza kumwamkia shikamoo, atakulegezea