Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbna km unataka kuyatindinganyaa tenaa?? Hutaki Amani weyeee?

Crews uchwaraaa zivunjweeee.

Udugu Amani Amani itawale [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuungane na maaskofu tuirudishe bandari

Me humu naingia kufurahi ili nipoteze wenge la marejesho ya bank km mtu anaona navuka mipaka ya utani na kiburudisho chake aje tuyajenge, mbona me muelewa afu nakanyika bado mwali wa kizamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Basi dadaako wakati naingia humu nakuta id za kiume zinatoa ma connection na deals zile za pesa ndefu, nikasema nilichelewa waapi?? Kumbe wanaume wenye pesa wako huku jamani mtaani wamejaa viposongo tu sura za NIPIGE TAFU nyingiii!!! Basi nikaanza kulike kwa wingi id moja ya member mmoja ya kitajiri
Hata aki-comment pumba me namwaga like najua hapa pesa ipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nilewe vzr nije nikumalizie kilichotokea
 
kwenye hayo mambo yake ya kusave picha za watu, kusema watu sihusiki, ila nilikua najua amachokifanya

sema nimeshaongea nae, hatowasumbua tena.... labda aje na id nyingine

Unakumbuka kuna siku nilikwambia mna kikundi chenu cha kijinga??? Najua wewe muelewa na una adabu japo unamgomea maza kwenda church ila mdogo angu acha makando kando [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Tutarudi Misri ngoja twende kanaani nimezika bifu ss hivi kila mtu nacheka naye km zamani kabla jini mkata kamba hajapita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
👏🏻👏🏻👏🏻Ni jambo jema
 
Unakumbuka kuna siku nilikwambia mna kikundi chenu cha kijinga??? Najua wewe muelewa na una adabu japo unamgomea maza kwenda church ila mdogo angu acha makando kando [emoji4][emoji4][emoji4]
Hicho kikundi chao, yuko yeye, mwachi, na wengjneo, kuna mwenzao m1 alikujaga humu selfika kunambia, wamepanga siku kunifurumua,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka, nkamuambia had mpange siku, mje hata sahivi, kuna mwingne akawa anamstua wee unaharibu mchongoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka ile siku, eti wa kunifurumua mie, ndo hawa watu? Nashangaa had leo kimyaa. Afu wenzao wawili siwaoni humu ndaniii. Lol
 
Huyo leo kasema anatumia Pepsi kushusha presha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemuonea huruma kweli mpk nimempotezea asije kujinyonga bure nikabeba msalaba wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nacheka km chizii, anajifanyaa mpanaa, akati heka heka haziweziii.
 
Uduguuu usimaliziee hapaaa, maliziaaa kulee wallah, natakaa kuupata huu ubuyu ukiwa vyediii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kipenseli ana id nyingi huyo kuna moja iko piem imejiongelesha wee me naichora tu!! Anavyoniona humu jukwaani najizima data anajua na piem atanikuta hivyo, msg moja tyr nishajua huyu Y2K sijui kaja na id nyingine kunisumbua tu!

Afu kiliacha namba zake za simu, ningekua mafia ningempa Kantri wamalizane lkn hata Kantri mwenyewe hajui km hata namba ninazo!! Nachukulia ile ki sister Marry wengine bado tuna utu na utulivu
 
Uduguuu usimaliziee hapaaa, maliziaaa kulee wallah, natakaa kuupata huu ubuyu ukiwa vyediii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf ina watu achaaa kabisa ila kuna siku nitailetea uzi hii story ya member wa jf bila kumtaja, watu wajifunze na wacheke mana lazima nimsimulie alivyo km mzungu wa kigamboni
 
Ukajua una piga, kumbe Ume yatimba🤣😂😂😂
 
Ndio hao wanaume kama mabinti? Niwekee list yao hapa wote, siku nikitoka nimevurugwa nakuja kumalizia stress kwao

Please, list majina yao hapa wote. Huu ujinga wa wanaume kuwa kama wanawake huwa unanikera sana.

Nilipanga nisiwe naingiaingia tena huku jf naona hakuna sana issues za maana, lakini hawa naomba wawe wa mwisho mimi kuhangaika nao
 
🤣😂😂🤔,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…