Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Nadhani wewe ndiyo hukunielewa, ngoja niendelee na kazi yangu ya kuomba picha mie maana hata sijui nilifikaje huku kwenye kubishania pages.Hii sio browser mbona jambo dogo unashindwa elewa ....
Mpangilio wa app na browser nitofauti na kote kuna page.
Nimefika mwisho wa huu mjadala.










