Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Picha zako nimetumiwa piemuni nakuja na i'd nyingine nachomoa betri ukiwa full![]()







Picha zako nimetumiwa piemuni nakuja na i'd nyingine nachomoa betri ukiwa full![]()







Ukitaka nisichomoe betri nitumie japo moja
Aliweka nyingine yake sasa maana yule Appiah ni role model wake


kumbeNitumie inbox moja tu zingine baki nazoSerious mkuu niamini ninazo 3
Ngoja nione utakayo ichomoaUkitaka nisichomoe betri nitumie japo moja




.halafu nitajua ni Nani aliyekupaKaka mkubwa naona unafuraaahi

Aliyenipa ni shemeji hakuna mwengineNgoja nione utakayo ichomoa.halafu nitajua ni Nani aliyekupa
Aiseeee wewe ni semi trailer moja matata sana, hongera kw kupunguza tumbo dogo.


We nyau naomba kuona sura yakoKaka mkubwa naona unafuraaahi![]()
Shemeji yupi?Aliyenipa ni shemeji hakuna mwengine
Ulienda wapi dada mbona ipo pale juu?We nyau naomba kuona sura yako
Hivi uliiona eeehhAliweka nyingine yake sasa maana yule Appiah ni role model wake
😂😂😂😂😂😂 mtaka cha uvunguniMtasababisha tukatike vidole jamani
Comments elfu tatu na kitu mtu anakwambia isake juu![]()