Tunasajiria Nairobi tu hapo, halafu tunaanza na blocka ambazo kuna nchi za Congo DRC, central Africa na SADC countries😁.
Wateja wakubwa wanakua ni government agencies, Investors, Mashirika na Makampuni Makubwa ya habari, Taaisisi za utafiti, Business people n.k😃, ngoja tuendelee kuota, maana ni haki yetu kikatiba😁