π π π π πKesho atakayeniuliza nimwambie aulize pombe sio me
Daaaah aisee nimi naacha utani wangu rasmi heeeAshukuriwe Mungu sijui hawakuwepo hawa kipindi hicho
Zile msg tulikuwa tunaandikiana humu
Akiyanani nyie
Maneno yangekuwa mengi sana.
Kuna watu walinifata kuniuliza kama ni kweli
Nikawaambia mtu mwenyewe sijui hata anafananaje
Mara kipindi Fulani nikatuma tiketi ya ndege humu
Wakauliza kama nimekufuata Daslama
ππππNa mimi ndio nilikuwa nautaka sasaπ€£
Kabisa na km hujawah pitia huwez kuelewa inauma sana tu
Ilo ndo la muhimu lakini Kwa kuwa yeye ndo kiini na ndoametaja watu wote hawez kuja hapaHii story ipo upande mmoja ndiomana inachanganya ilitakiwa huyu kipenseli kilichokosa ufutio kije kikamilishe chat zilizomiss na jina la mwenzie waliyekuwa wanachat wote!! Hapo tutampata mchawi vinginevyo ni vikundi vya watu vimeamua kuharibu kwa Penseli afu wamevutia kwao
Supastaa my Asssss ππ π€ π€ π€ π€ π€ π€ πππ!Superstar wa jf nzimaπ
π€£π€£π€£ kungekua na option ya call kama insta nibgekupigia leoππππ
Ukija TZ utembeze na kirungu ili tukufungulie na thread kabisa
Alafu unavyocheka napata wasiwasi usije kuwa una File lingine la Babu yako hapa.ππ
EndeleaDaaaah aisee nimi naacha utani wangu rasmi heee
Tulia bas na weweππππ€£π€£π€£ kungekua na option ya call kama insta nibgekupigia leo
Babu yenu tena nimefanya nini?Supastaa my Asssss ππ π€ π€ π€ π€ π€ π€ πππ!
Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ??? πππ€ π€ π€ π€£π€£!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????
Nyiee πΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊ
Jf sihamiiiiii πΊπΊπΊπΊ!
Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!
Hivi Auntie na wewe umepitia?Kabisa na km hujawah pitia huwez kuelewa inauma sana tu
Nachojua mimi na dada tunadhani haujuiKwahiyo ulitaka kuamini kabisa kuwa hazitanifikia.? Zilifika zote.
Huyo mmoja aliyejisilibia ndio kiini chenyewe, maana alikuwa anamjaza dogo ili aendelee kutiririka.
Mie nipo nasoma tuSupastaa my Asssss!
Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ???!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????
Nyiee
Jf sihamiiiiii!
Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!
Haaa vinini vipoe tenaπTulia bas na weweπππ
Hata havijapoa jamani khaaaaπππ
Hebu kalale huko πππ