Kwahiyo Mjomba ni mwanamke mmoja ni mchawi,shidayake ni hasa tujue,?Huyo mwanamke mwenzenu aache uchawi banaa.. Mie humu sina site na mambo za watu.. Nashusha mkeka sawa sawa na informer wanavyonipansiongezi hata nukta.. π
Mjomba unatuchanganya nipe mm nikusaidie kuweka nitawaita mmoja mmoja na ulinz binafs utakuwepo file langu nitampa mtu anisomee nisikimbie naloππsasa mie naleta mkeka watu wanageuza madaa.. basi acha nibaki nayo.. maana watu wana shindwa tafsiri wanaanzisha mengine .. π π π bye banaaaaa.. mikeka nitabaki nayo
π€£π€£Ukisikia yalaaaaaaaaπ€£
Ahaa kumbe nimesoma vibayaaaa doh mawenge hayaaa!π€ π€ π€ ππππ€£π€£π€£!!Heee
Mimi tena?
Wapi tena huko nimetajwa!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au uli salimia kwa I'd nyingine πππAlipigwa ban kwa uwongo maana nilimwambia aweke hata pm namsalimia mambo huko pmπ
nibembelezeni tuuu π π πHhahahahah boss, weka tafadhali watu watoe yao ya moyoni.
πππUna kaugonjwa ka aina gani hapo?mana nahitaji kapyaπ
Dogo uli Nipa hints zipi kwa jumbaπ€πkunguru tena π π π π mbona unanichanga na mie tena
Nitakuletea dawa ticha wangu usijali wala nini..ππππ
Nina kangoma bana, huko ulipo hakuna dawa kweli
Angeweka hata hiyo wote niliowahi chat nao pm ni kwa hii na nilimpa ruhusa aweke huo muombo huko pmππAu uli salimia kwa I'd nyingine πππ
Sawasawa π πWangekuwa busy na shughuli za shamba kama Babu yao hapa wasingekuwa na muda wa kuzushia watu mambo mazito hivyo.
πππnibembelezeni tuuu π π π
Tunakuja kuondoa stress, sio kuongeza π€£Hapa jf nipo kurelax na ndio lengo langu kama upo makini huwezi kunikuta kwenye mada serious. Hata hii watu kunifikiria tofauti ni furaha kwanguπ
Si unajua navyoku save unapata pisi kali humu ndaniπππNitakuletea dawa ticha wangu usijali wala nini..π
Kwahiyo ulitaka kuamini kabisa kuwa hazitanifikia.? Zilifika zote.Nachokishangaa ni wewe kupata taarifa. Kaka ulifatwa Pm au? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani alikufata?
Hizo shots mbona mmoja kajisiliba asionekane? Ni nani?
Mpuuzi apuuzwe tu.
Hivi na umri huu nifate nini kwa Vijana rika la Wajukuu zangu?Unajiteteaπππ
Sijui unatujua au??We nakupeleka uka toe Mbwa bandani tuππ€£
Kweli mkuu..Shida Wana kosa forward mwenye nja ya magoli, wanted mpata hata benzema Ange offer difference.
Kwa kweli na uzee huo vijana wame kukosea sanaπππHivi na umri huu nifate nini kwa Vijana rika la Wajukuu zangu?
Mimi nipo zangu kuitafuta Pepo tu, si umeona Umri ulivyonisonga?
ππππUmefuzu CubaKwahiyo ulitaka kuamini kabisa kuwa hazitanifikia.? Zilifika zote.
Huyo mmoja aliyejisilibia ndio kiini chenyewe, maana alikuwa anamjaza dogo ili aendelee kutiririka[emoji1].