Ukikaa kimya halitaisha Bora mchaw aletwe live yataisha had kufikia saambili kikao kitakuwa kineisha bila hivo haya maigizo hayaishi karibia wiki mada ni hizi uzuri wahusika tupo hapahapaMie nashangaaa.. wenzao wanapo haribiwa wanajisikiaje.. umeona kama huyo binti sijui Carleen walicho mzushia ? Mie humu nimeshushiwa nimelala na Mama mchungajj na saint anne na wengine wengi hapa pamekuwa pa mipasho daily ili kuondoa hiyo tusake mwizi.. nashusha mikeka mchawi mmoja mwehu anakujoa speed kunitisha π π π π .. au basi niache nilale zangu
ukichoka kulalamika uje pm mchumbaKweli
Ahaa wewe utakua kuna kitu unajua aisewπSi uko connected successfully lakiniππ
sija elewa pale ulipo sema, anaye mfuga kunguru ni Naniπ€πMie nashangaaa.. wenzao wanapo haribiwa wanajisikiaje.. umeona kama huyo binti sijui Carleen walicho mzushia ? Mie humu nimeshushiwa nimelala na Mama mchungajj na saint anne na wengine wengi hapa pamekuwa pa mipasho daily ili kuondoa hiyo tusake mwizi.. nashusha mikeka mchawi mmoja mwehu anakujoa speed kunitisha π π π π .. au basi niache nilale zangu
Mbona unaruka ruka kama popcorn vipi?Hahaaaaaa
Mtumishi mwenzetu LenieNakazia
Ngoja nkuletee faili lakoπππAhaa wewe utakua kuna kitu unajua aisewπ
Wamenikosea sana Babu yaoπ¬π¬π¬
ππππMimi za kwangu zilipita nililala kwani ameniacha bas Yani shwaaa hajali hata shangazi zake πππ[emoji1][emoji1]
Shangazi yake na penseli inawezakana vipi ukose data.?
Ebu niletee watu wanahisi nakutaka na wewe wanaharibu kabisa daah kazi kweliNgoja nkuletee faili lakoπππ
Sio poa yan
Mmh mambo mazito sanaMtumishi mwenzetu Lenie
Eti una njaa ya mahusiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na soko hakuna[emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie
Yaani heri wangewasema micharuko wakorofi..
Ila eti hadi Lenie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante Mkuu, nimepokea ushauriPole sana,wasamehe ila pia kaa nao mbali ,ama cheza kimedani
Ukisikia yalaaaaaaaaπ€£Huyo dada naonaga hana akili .. kapanic π π π .. sie tuna msaka anaechafua watu tuna mpata unakuja anzishia tifu tifu wengine.. msaidie huyo mwanamke mwenzenu
ππ sMbona unaruka ruka kama popcorn vipi?
Moto umezidi niniπ
Unajishtukia kweli yani
Kuna watu wapo serious sana kufatilia watu humu[emoji28]
ππππEbu niletee watu wanahisi nakutaka na wewe wanaharibu kabisa daah kazi kweli
Ufupi ipo ; Jana nilijisikia vibaya humu.. wengine tulizoea hapa tuna kuja enjoy na kutoa stress.. ila kila ukiingia watu wanavurugana.. Mie kwa moyo mweupe nikasema hapa tusake wanachonganisha watu.. na kuzushiana mambo ha hovyo kama mlivyo ona .. Katika hayo hakuna hata moja nimetunga nachukua mzigo mzima mzima nashushaaa... Kama kuzushiwa nimezushiwa na watu ambao sijawa hata waona kama mama mchungaji au kadogo kangu ka Saint Anne .. kitu ambacho sio.. sasa huyu tahira anakuja na brabra na mawigi yake π π π π .. achukue furushi lake la Penseli 4.. PDF itayokuja kali sana.. ngoja kwanza nionane na wana hapa ... alafu mie sitishwi sijawai kaa PM na kusengenya mtu..Malizia kaka
Nyeshea mvua tuone panapovuja tafadhali
Winja winja kiba shwaaa hadharani [emoji3][emoji3][emoji3]