mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,191
Hujambo mrembo?Single Ndiwooo!!! Ushawahi niona niko unhappy even a single day?!
Hujambo mrembo?Single Ndiwooo!!! Ushawahi niona niko unhappy even a single day?!
AiseeeKwenye maji ya kuoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe upo single, hii hii single niijuayo? Huenda mna hobbies zingine, ilà kwangu mmmh!!
Uzee baby, uzee kitu kibaya sana!!Kweli usahau jambo la msingi hivyo[emoji24][emoji24][emoji24]
Dada wa kazi atawawekea kwenye chai eti eeehh
Sijambo mimi jamani babake mtoto mzuri!!Hujambo mrembo?
Naomba nafasi nikuondolee upwekeAs long as am single, am safe!!
Najitunza kaka [emoji41][emoji41]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Mbona aliniambia Kotela, sijui kutela
Kwenye maji ya kuoga.
Ndio.Single Ndiwooo!!! Ushawahi niona niko unhappy even a single day?!
Hongera mku
Umeisha[emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mtori
Lini hiyo etii jamanii auntieNdio.
Ndio niko singo[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Wewe uko singo auntie
Mmmmmh!! Pamoja na uzee usingesahau kitu muhimu vile.Uzee baby, uzee kitu kibaya sana!!
OoohhhhUtajua tu..hapo ndio utajua definition ya msaidizi wa mama nyumbani
Tumbafu zenu na robo.[emoji23][emoji23][emoji23]tena ya vuguvugu mama akiwa kikoba
Sijawahi jiona mpweke mimi jamani babake mtoto mzuri!!Naomba nafasi nikuondolee upweke