Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa pic yenyewe bora ingekuwa kweli yangu ni magumashi na kuunganisha dot tyuuu!!
Afu aliyeleta ni kibibi flani hivi kifupi KIBAYA vigimbi changanya sura lake [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Hata hiyo aliyoweka akijiweka na yeye bado anaachwa mbali sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyo jamaa mbona alituma picha zako kwa mwamba na huenda zikawa real
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umeamua kupasua ukweliii.
Uduguuu unayawezaaa, woiiiiiiih

Ukweli lazima apewe achague mwenyewe azikwe na city au akazikwe makaburi ya wanafiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena bado nimemuheshimu sababu ana akili za kupelekwa
 
Back
Top Bottom