Selfika na JF: Snap it. Show it


Kwa Kweli humu kuna id za kike zichunguzwe na hawa wanaojiita vidume kila mada za kike wapo nao tunatakiwa kuwa makini nao sana!!!!

Sijui nguvu wanazitoa wapi za kusema wengine, wakati wao ndo mashoga konki huko piem za wanaume wanafata nini?? Afu wakija huku wanavimba khaaaaaaaa!!!!
 
Au we wa kike mjuba??, Maana ujasiri wa kutukana ma men wenzio una utoa wapi???
Ma men tuna zingatia itifaki, so una leta pigo za kiwaki
Situkani men wenzangu hata siku moja, mm natukana men ambao they act like a women, men mngezingatia itifaki wala msingefanya mnachofanya.

Mm hili nimelimaliza, naamini mmeelewa. Tuishie hapa.
 
Nimeingi mzigoni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
umaarufu unatafutwa kwa nguvu uduguuu, woiiiiiiih

Umekaribishwa selfika rasmii mwayaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…