Nawee baki hapo hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia hapohapo
***** jfππNimecheka watu wanachinjana au sio
Hebu tulia ππ***** jf
Vidume live vikisutana dah
ππNawee baki hapo hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mmeamua kunichangia leoπ vipi tenaLako km maboga ya kiangazi, afu bonge kipipa
Kivumbi na jashooo leo.[emoji3][emoji3]
Kaka tuna wafundisha hao attention seeker ππ.***** jf
Vidume live vikisutana dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nawajua kuliko wanavyojijua, cha ajabu wanapita njia yanguu
Wala hawanisumbuiii, nilichagua kuwa kimyaa nimewazidiii kwa vingiiii mnoooo.
Habari wanayooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tembea uyaone aisee.Hebu tulia ππ
aaliyyah embu selfika kidogo nikuoneππππ
Nasikia uta wapokea do world kwakoππTembea uyaone aisee.
Hapo ndio DP world hawajaamia rasmi.
Situkani men wenzangu hata siku moja, mm natukana men ambao they act like a women, men mngezingatia itifaki wala msingefanya mnachofanya.Au we wa kike mjuba??, Maana ujasiri wa kutukana ma men wenzio una utoa wapi???
[emoji117]Ma men tuna zingatia itifaki, so una leta pigo za kiwaki [emoji848]
Dogo nasikia we ni publisher wa kujitolea ππaaliyyah embu selfika kidogo nikuoneπ
Nimestaafu kidogo kwakweli yamenifika shingoni πaaliyyah embu selfika kidogo nikuoneπ
wala hata, nasingiziwaDogo nasikia we ni publisher wa kujitolea ππ
Nimeingi mzigoni π π πHaha unanikumbusha enzi nalitumia boom lote 450k kwa weekend mmoja!
Nilikua nikifika kina mawazo wananipapatukia nikizama ndichi utasikia Hawa ndo vidume Sasa wameingia.
Then kesho chuo mwanzo mwisho wali maharage 600 na kushindia mkate na chai. Zitatua hizi cc sumbai
nini kimetokeaπNimestaafu kidogo kwakweli yamenifika shingoni π