Unafiki upi, attention seeker wewe.
👉Nilikuwa naku heshimu bro, ila Ume kuja na piho za kiupinde upinde.
👉eti Wana hangaikakwa Dem wangu, for real hebu acha uwenda wazimu🤔🤐
Hakuna genge unachangamsha kwa kuweka uanaume pembeni. Najua unajua sijaandika hivi kwa bahati mbaya, unachofanya nakijua. Sikutaka kufika huku, Ila naona mnaandika sana unafki