Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiri km Tajiri huna bayaaa!!! Huko vizuri shem ndiomana coca ana kiburi cha uzima shenzy zake!!!!
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Doto Magari hasogei hata robo shem🀣🀣🀣🀣🀣
Umetisha sana🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ivae uselfike tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijaenda bado kuinunua

Vile nilivyo na kiherehere
Jana na ushindi wetu timu kubwa LFC,,ningewezaje kukaa nayo kimya bila kuitupia?


Nawaambia yaani nitaitupia.
Hapo ni moja tu,ya home

Nikipata ya away si kuna watu watajinyonga humu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.

...
Miamala ya babe wangu nikiweka si watazimia humu...watamfuata kijana wa watu🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Bahati nzuri Bado hawaelewi exactly ni nani maana wanaona nachat na kila mtu..sasa wamebaki kuguess na kukisia stori.
Mara anasingiziwa Mjep,mara NA🀣
 
Siwezi kabisa angaika na mtu JF.. mizigo ya kumwaga kitaa why nije ku bet humu.. izo sio akili aisee πŸ˜…πŸ˜…
Humu jf domo zege Ni nyingi Sana. Hii ya kuibukia vivuli ndio only option.

Na Hawa dada zangu nahisi some of them Ni rejected huko kitaa na hii ndio only option yao ya kujitutumua. Maninah maana kila siku wanapigania madudu ya madomo zege ya jf.
 
Mm sitaki kusikiaga habar zangu wewe kama mtu kakuambia kitu kuhusu mimi kaa nacho uko uko usiniambie kabisa mkuu afya yangu muhimu sana kuliko hao waganga njaa mkuu πŸ₯±

Vipi cheaf sijapata vocha yako mda sana

Unasema wenzio waganga njaa huku unaomba vocha khaaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Doto Magari hasogei hata robo shem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umetisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afu shem km nakufahamu haki sio uongo?!!! Hii sura japo umeikata ni wewe
 

Niambie me basi thithemiii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unasema wenzio waganga njaa huku unaomba vocha khaaaaaa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora mm najulikana omba omba kuliko nijifiche kuwa sina dhiki wakati zipo humu wananiita mzee wa kupenda kitonga nimekubaliana na hali na uzuri maboss hamniangushi ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…