Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukweli lazima tuwape watake wasitake km unaogopa ni wewe bro
Mimi siogopi mtu ila naheshimu mtu atakama yeye akinidharau mimi nitamuheshimu ila akivuka sana mipaka yangu ambayo nimeiweka lazima nimuonye in good way
 
Kumbe ni kamati ya roho mbaya πŸ˜‚
Itashangazwa mwaka huu,
Wataona amani inazidi kutawala 🀣
 
Acha wivu kama huna wakupiga naye story wewe nenda tu ukaselfike mwenyewe hadi ulale mwone kila saa unalike tu story za wenzako , siumwite upendaye na mashem mchart
Nakupenda wewe maua mrembo wangu kipenzi changu
Njoo nikuimbie nyimbo nzuri⚘️
 
Inavyosubiriwa hiyo selfie kwa hamu ni balaa shem
Itapigwa screenshot juu kwa juu

Kwan unaogopa?? We selfika hapa tukuone boss wa vocha unayesumbua selfika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…