Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,603 Dec 1, 2019 #36,741 Sakayo said: Nawe uwabebe Click to expand... Mie nawabebea wapi sasa!!! Akuuuu pambana nao mwenyewe.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Dec 1, 2019 #36,742 Atoto said: Hata mimi siwajui. Click to expand... Mmmhhh
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,603 Dec 1, 2019 #36,743 Watu8 said: Hahah na tutaja na vigoma vya singeli vile, nitakodi wale wamama wavaa sare za madela... Hiyo inaitwa beba mkwe mla mahari za watu aolewe yeye, mtaa mzima wafungwa... Click to expand... Yeleuwiiii!! Kwani tulivyokwambia tumehama nchi haujasikia? Tumehamaaa na haturudi nchini kwenu.
Watu8 said: Hahah na tutaja na vigoma vya singeli vile, nitakodi wale wamama wavaa sare za madela... Hiyo inaitwa beba mkwe mla mahari za watu aolewe yeye, mtaa mzima wafungwa... Click to expand... Yeleuwiiii!! Kwani tulivyokwambia tumehama nchi haujasikia? Tumehamaaa na haturudi nchini kwenu.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,603 Dec 1, 2019 #36,744 Sakayo said: Mmmhhh Click to expand... nini sasa?
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Dec 1, 2019 #36,745 sumbai said: Naaam baaharia Click to expand... Nilikua nakata wimbi kuitafuta Chumbe
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Dec 1, 2019 #36,746 Atoto said: Yeleuwiiii!! Kwani tulivyokwambia tumehama nchi haujasikia? Tumehamaaa na haturudi nchini kwenu. Click to expand...
Atoto said: Yeleuwiiii!! Kwani tulivyokwambia tumehama nchi haujasikia? Tumehamaaa na haturudi nchini kwenu. Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Dec 1, 2019 #36,747 Atoto said: nini sasa? Click to expand... Hata sielewi mimi jamani
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Dec 1, 2019 #36,748 Sukuma wiki. I love this shit, man. Naweza kula Ugali na hii kitu tu kwa wiki nzima bila kuchoka.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Dec 1, 2019 #36,749 Atoto said: Kwahiyo unakwenda kwasababu yake? Click to expand... Kuna sababu nying saan... Yeye pia
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Dec 1, 2019 #36,750 Watu8 said: Hahaha...ni kama umeparamia mtu vile Click to expand... Hahahaha hapana mkuu ni katika haraakati za kuficha sura
Watu8 said: Hahaha...ni kama umeparamia mtu vile Click to expand... Hahahaha hapana mkuu ni katika haraakati za kuficha sura
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,515 Dec 1, 2019 #36,751 sumbai said: Hahahaha hapana mkuu ni katika haraakati za kuficha sura Click to expand... sawa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,515 Dec 1, 2019 #36,752 Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Roger Sterling said: Sukuma wiki. I love this shit, man. Naweza kula Ugali na hii kitu tu kwa wiki nzima bila kuchoka. View attachment 1278202 Click to expand...
Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Roger Sterling said: Sukuma wiki. I love this shit, man. Naweza kula Ugali na hii kitu tu kwa wiki nzima bila kuchoka. View attachment 1278202 Click to expand...
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Dec 1, 2019 #36,753 Watu8 said: Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Click to expand... Hata huku si haba. Naziotea mara chache chache.
Watu8 said: Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Click to expand... Hata huku si haba. Naziotea mara chache chache.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,013 Reaction score 28,346 Dec 1, 2019 #36,754 Tukutane babloni nami nitakuwepo 13 mega pixel said: Mkuu mimi nitakuwa hapo Mamba, kotela kama unapafahamu Click to expand...
Tukutane babloni nami nitakuwepo 13 mega pixel said: Mkuu mimi nitakuwa hapo Mamba, kotela kama unapafahamu Click to expand...
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,013 Reaction score 28,346 Dec 1, 2019 #36,755 Hazard CFC said: Napafahamu mkuu..mamba complex nakula sana kitimoto choma hapo,tutatafutana Click to expand... Pale saa hivi fujo sana chimbo langu ni babloni
Hazard CFC said: Napafahamu mkuu..mamba complex nakula sana kitimoto choma hapo,tutatafutana Click to expand... Pale saa hivi fujo sana chimbo langu ni babloni
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,013 Reaction score 28,346 Dec 1, 2019 #36,756 13 mega pixel said: Sasa mimi hapo ndio home kabisa ukishuka kidogo na hicho kinjia nyumba ya kwanza utakayokutana nayo pana uwazi mkubwa ni kwa babu hapo mamba complex ni kwa ndugu yangu kabisaaa Click to expand... Napajua panalimwa limwa mahindi sana alafu kuna kama nyumba haaiishi mtu kama sijakosea
13 mega pixel said: Sasa mimi hapo ndio home kabisa ukishuka kidogo na hicho kinjia nyumba ya kwanza utakayokutana nayo pana uwazi mkubwa ni kwa babu hapo mamba complex ni kwa ndugu yangu kabisaaa Click to expand... Napajua panalimwa limwa mahindi sana alafu kuna kama nyumba haaiishi mtu kama sijakosea
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,603 Dec 1, 2019 #36,757 Roger Sterling said: Sukuma wiki. I love this shit, man. Naweza kula Ugali na hii kitu tu kwa wiki nzima bila kuchoka. View attachment 1278202 Click to expand... Sukuma ikiungwa poa ni tamu sana.
Roger Sterling said: Sukuma wiki. I love this shit, man. Naweza kula Ugali na hii kitu tu kwa wiki nzima bila kuchoka. View attachment 1278202 Click to expand... Sukuma ikiungwa poa ni tamu sana.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,603 Dec 1, 2019 #36,758 Watu8 said: Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Click to expand... Mie shahamia
Watu8 said: Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Click to expand... Mie shahamia
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,603 Dec 1, 2019 #36,759 Sakayo said: Click to expand... Aki kubebwa kusikie tu. Bora tu tuendelee kukuwa singo.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Dec 1, 2019 #36,760 Watu8 said: Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Click to expand... Yeah...! Kenya wanauza ugali bei yake na mboga bei yake.
Watu8 said: Hamia Kenya mkuu, utakula ugali, sukuma na matumbo hadi ukimbie... Na wale watu huwa hawajui kupima nyama, wanajazaaa Click to expand... Yeah...! Kenya wanauza ugali bei yake na mboga bei yake.