Miss u too jamnimchuchu miss you
Dah π€£ππNasemaje BWANA KAFIKA nitawaachia nikitaka [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Sijali,[emoji23][emoji23]kama maneno yangekuwa risasi,basi wewe wangekuwa washakushuutWee tuishi humumuhumu tyuuuu kila mmoja anasemwa sana humuuu sema japo nahisi mie ndio usiseme kabesaaa [emoji23][emoji23][emoji16]!
Sema mie sijareee wala neneeee! [emoji2960]
Mdogo wanguUnaogopa maneno Madam?
Hata usipochangia mbona utasemwa tu
Maneno yanakutisha?
Binafsi ntaacha kuchangia nikiamua mwenyewe ila si kwa sababu ya maneno ya wapumbavu wachache.
Wasamehe bure nadhani hawatorudia kwa hiki kichamboπββοΈPenseli leo hapa hayupo ni hawa hawa tumbili wa Mikumi waliojikalisha kimya km maiti ilioshindwa kulipiwa itoke mochwali ndio waliopeleka au wewe shem
Hee si ndiyo namaanisha hao walioshare hizo picha za watu sehemu nyingine wanaharibu maana ya jukwaa, umequote wrong labda
hahahaha!Miss u too jamni
Jamani hebu nitumie buku 2 nikupe ubuyu kabla haujachacha πππ
we itaje tu zipo nyingiπPenseli leo hapa hayupo ni hawa hawa tumbili wa Mikumi waliojikalisha kimya km maiti ilioshindwa kulipiwa itoke mochwali ndio waliopeleka au wewe shem
Sorry dear, temper ilikuwa juu hata sijasoma vzr
Yaaani wanakera hadi baasiYaani wote tu Dunia inatupeleka mbio mkuu, kuhusu selfie kweli nilipanga kushare ila baada ya kuona hali ya hewa imechafuka nikatoka speed kuzifungia kabatiniππ watu siyo wastaarabu
Kwakweli uzuri maneno yao najua sio ya kweliiii Ndiomana walaaaa sina habareeeee naoooπ€Έπ€ΈπΊπΊπΊ!!Sijali,[emoji23][emoji23]kama maneno yangekuwa risasi,basi wewe wangekuwa washakushuut
Histrionic personality disorder [emoji1787][emoji23][emoji23], una nijua [emoji1787][emoji23][emoji23]
Shem, basi inatosha mamaPenseli leo hapa hayupo ni hawa hawa tumbili wa Mikumi waliojikalisha kimya km maiti ilioshindwa kulipiwa itoke mochwali ndio waliopeleka au wewe shem
Sote tunaelekea vyedi mnywanii Nimefurahi sana kukuona selfikaa !Mnywanii
miss you too mpaka naumwa chino.
Unaendeleaje mama Wa tatu
Nishawapotezea,maana hawana kazi,kazi yao ni kutunga tu,Unaogopa maneno Madam?
Hata usipochangia mbona utasemwa tu
Maneno yanakutisha?
Binafsi ntaacha kuchangia nikiamua mwenyewe ila si kwa sababu ya maneno ya wapumbavu wachache.
Nishawapotezea,maana hawana kazi,kazi yao ni kutunga tu,Unaogopa maneno Madam?
Hata usipochangia mbona utasemwa tu
Maneno yanakutisha?
Binafsi ntaacha kuchangia nikiamua mwenyewe ila si kwa sababu ya maneno ya wapumbavu wachache.
Tuliaaaaaa π€£π€£π€£!Shem, basi inatosha mama
Samehe tu
π€£πππ, Kumbe una kasirikaa ehhh.We KOMA sipendi unipe uhasama wa kisenge na watu humuπ‘π‘π‘
picha sijaiona hata kama ningeiona nirushe iliπ₯Άπ₯Ά
πππPenseli leo hapa hayupo ni hawa hawa tumbili wa Mikumi waliojikalisha kimya km maiti ilioshindwa kulipiwa itoke mochwali ndio waliopeleka au wewe shem